Leo talehe 13 Agosti 2024, Rais Paul Kagame Amemteua Dr Edouard Ngirente kuwa Waziri Mkuu, nitaarifa ambayo imetoka katika ofisi ya Rais ( Village Urugwiro) iliyosomwa kwenye Redio na Televisheni vya Taifa.
Dk Edouard Ngirente ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu siku mbili baada ya Rais Kagame kuapishwa kwa muhula mwingine baada ya kushinda uchaguzi wa Rais uliofanyika Julai 14 na 15, 2015.
Dr Edouard Ngirente ana Shahada ya Uzamili ya Takwimu na Fedha kutoka Université Catholique de Louvain nchini Ubelgiji.
Huyu Waziri Mkuu Dr Edouard Ngirente, ariteuliwa katika balaza jipya la Mawaziri tarehe 30 Agosti 2017 .
Kwa mjibu wa katiba ya nchi, Waziri Mkuu hushirikiana na Rais kuunda balaza jipya la Mawaziri kwasiku zisizo zidi 27 tangu kutangazwa kwa Wazili Mkuu.
Bagabo John