•     

"Natuma rambirambi kwa Rais William Ruto, Paul Kagame"

Rais wa Rwanda Paul Kagame, ametuma Salamu za rambirambi kwa Rais William Ruto pia na Familia na wapendwa waathirika wa ajali ya ndege akiwemo Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Ogolla ambaye atakumbukwa kwa weledi na unyenyekevu katika utumishi wake.

Rais Paul Kagame ametowa rambi rambi kwa Rais William Ruto

Haya hapa ni Maoni ya Prof Malonga Pacific baada ya kuona ujumbe wa Mhe Rais Paul Kagame kutumia Lugha ya Kiswahili akitowa salamu za rambirambi.

UJUMBE wa UJUMBE  ! Nami nikisema " MAKIWA" na kuwapa pole wananchi wa Kenya na wanajumuiya ya Africa Mashariki wote kwa jumla , namwomba Mwenyezi Mungu  alaze roho za wanajeshi wa Kenya waliopoteza maisha yao kwenye ajali ya ndege akiwemo mkuu wa jeshi na wanajeshi wenzake, pema peponi na afariji familia zao, Amiiina.    

Maoni ya Prof Malonga Pacifique 

Nashukuru Mhe Rais Paul Kagame kwa kutuma rambirambi zake kwa lugha ya Kiswahili  ili sote tuweze kuungana pamoja tukiwa na UJUMBE moja wa kuwapa pole wenzetu kwa kuwapoteza wapendwa wao. Makiwa !  Napenda nichukue fursa hii kwa niaba ya wanyarwanda wasiyojua lugha hii ya Kiswahili.

Nyakubahwa Perezida Paul Kagame yatumiye mugenzi we Perezida wa Kenya William Ruto, ubutumwa bwo kumufata mumugongo kubera urupfu rw' Umugaba mukuru  w' ingabo za Kenya General Francis Ogolla hamwe n'a bagenzi be baguye mu mpanuka y' indege ya kajugujugu tariki ta 18 Mata 2024.

Natwe twifatanije nabo k' umutima . Uwiteka abahoze kandi abahumurize.  No mu kiriyo ntituri insina ngufi " migomba mifupi

Nibyiza kwiga IGISWAYILE 

Professor Malonga Pacifique 