•     

Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) linakualika kwenye fainali ya kusisimua ya soka kesho, 31 Januari 2025.

Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) linakualika kwenye fainali ya kusisimua ya soka kesho ijumaa 31 Januari 2025, kwenye Uwanja wa Kigali Pélé saa nane Mchana,. Mechi hiyo itawakutanisha Kituo cha Mafunzo Gabiro (CTC Gabiro) dhidi ya Kikosi Maalum cha Operesheni (SOF).

Fainali hii inaadhimisha sherehe kuu za kufunga Mashindano ya RDF Interforce 2024/2025, yanayoshirikisha uwasilishaji wa vikombe kwa timu zilizoshinda katika taaluma mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mpira wa miguu, mpira wa vikapu, mpira wa wavu, mpira wa mikono, netiboli, riadha na upigaji risasi.

  Timu ya Kituo Cha Mafunzo Gabiro CTC

Timu ya Kikosi Maalumu Cha Operesheni SOF

Tuwakumbushe kwamba katika Mchezo wa Fainali za kombe la Mashujaa, Timu ya  Majeshi  ya Rwanda APR  Pia na Timu ya Jeshi la Polisi , watatowana jasho Siku ya Ijumamosi talehe Moja Mwezi wa 2.2025

Bagabo John