•     

Paul Kagame, Frank Habineza na Mpayimana Philippe wameruhusiwa kugombea nafasi ya Rais

Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Rwanda (NEC) imetangaza orodha ya muda ya walioruhusiwa kufanya kampeni za kugombea nafasi ya Rais wa Jamhuri, ambapo waliofuzu ni Paul Kagame wa Chama tawala FPR Inkotanyi, Philippe Mpayimana Mugombea Binafsi pamoja Mbunge Frank Habineza wa Chama Cha Democratic Green Party of Rwanda.

Hawa ndio ambao tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imekubari kuwa wagombea katika nafasi ya Rais 

Manirareba Herman, Barafinda Sekikubo Fred, Habimana Thomas, Rwigara Diane, Mbanda Jean na Hakizimana Innocent hawakukidhi vigezo na Masharti katika orodha hii ya muda.

Haya ndiyo mambo ambayo wagombeaji wasiostahiki hawakutimiza

Manirareba Herman 

Tume ya Kitaifa ya Uchaguzi ilitangaza kwamba hakutoa orodha ya watu 600 wanaostahili kuunga mkono kugombea kwake.

Hakizimana Innocent 

Hakizimana Innocent hakupata angalau watu 12 ambao wana vitambulisho katika Wilaya za Nyagatare na Gatsibo ambao pia wako kwenye Orodha ya Uchaguzi ya maeneo hayo.

Diane Shima Rwigara

Diane Rwigara hakukidhi matakwa hayo, kwani baadhi yahayo ni pamoja na cheti ambacho kinaonyesha kwamba hakuhukumiwa na mahakama, lakini alitoa nakala ya hukumu hiyo. Badala ya cheti chake cha uraia wa Rwanda, Diane Rwigara aliwasilisha cheti chake cha kuzaliwa.

                      Diane Rwigara 

Katika orodha ya waliomuunga mkono, hakukutana na watu wasiopungua 12 ambao pia walikuwa kwenye orodha ya majimbo.

Maeneo hayo ni Kamonyi, Gatsibo, Gasabo, Musanze, Nyagatare, Burera, Nyabihu na Kayonza.
Katika orodha hiyo tume ya uchaguzi imesema kua katika Wilaya  za  Huye na Gisagara, vitambulisho vyao havipo, na baadhi ya nambari za vitambulisho hazilingani na majina ya walioandikwa kwenye orodha ya wafuasi wake.

Wilaya ya Nyagatare, Gatsibo, Kirehe, kuna namba za vitambulisho vya wafuasi wake,  baadhi ya sahihi  ambazo ni tofauti  na majina ya orodha aliyotoa

Rais wa tume ya uchaguzi NEC, Oda Gasinzigwa, alitangaza kuwa miongoni mwa waliotia saini za Hakizimana Innocent, wapo wanaorejea kwenye orodha zaidi ya moja lakini sahihi zao ni tofauti.

Uchaguzo wa Rais na wa Bunge utafanyika siku moja hapo talehe 15 Julai 2024.

Bagabo John. 

Ukitaka kujua mengi ungana nami katika hizi namba za Simu. (+250) 788698005 iko kwenye WhatsApp.