Baraza la Mawaziri limeteua viongozi wapya katika idara mbalimbali za nchi, akiwemo na Mtoto wa Rais wa Rwanda Ange Kagame.
Mnamo 2019, Ange Kagame alimaliza Shahada yake ya Uzamili katika Shule ya Kimataifa na Masuala ya Umma ya Chuo Kikuu cha Columbia, SIPA. Aliipata pamoja na shahada yake ya kwanza kutoka Chuo cha Smith katika Sayansi na Siasa.

Ange Ingabire Kagame
Bagabo John
