•     

Ninawanyooshea kidole Rais Samia na Serikali yake- Tundu Lissu

Kiongozi wa Chama cha Chadema Mh Tundu Lissu ame kinyooshe kidole Rais Samia na Serikali yake kuwa wanawajibika kwa vitendo hivi viovu na vya kigaidi. Nikatika waraka ario utowa akiwa Gerezani.

Waraka wa Tundu Lissu uliotumwa kutoka Gereza la Ukonga kwa lugha Kiingereza kama ulivyotafsiriwa kwa Kiswahili na Askofu Mwamakula.

UJUMBE KUTOKA GEREZA LA UKONGA

 "Ninalaani vikali shambulio dhidi ya Padri Dkt. Kitima pamoja na shambulio na kupigwa kwa Mdude Nyagali. 

Ninawanyooshea kidole Rais Samia na Serikali yake
kuwa wanawajibika kwa vitendo hivi viovu na vya kigaidi. Ninatoa wito kwa Rais Samia na serikali yake 

kuhakikisha kuwa Mdude Nyagali anaachia na pia anapata matibabu ya haraka yanayohitajika.

Kwa Padri Kitima, ninamtakia uponyaji wa haraka na ninamtia moyo yeye na maaskofu wa Tanzania kusimama imara bila kuyumba katika mapambano yao ya haki na demokrasia nchini Tanzania.

Kwa viongozi wa CHADEMA, wanachama, wafuasi na Watanzania wote kwa ujumla; Ninawatia moyo kutokukata tamaa katika mapambano ya kupigania demokrasia katika nchi yetu. Ninataka watambue kuwa mimi  sitayumbishwa na kuwa hakuna kuta za gereza zitakazoweza kuvunja ari yangu. Ninawapenda, na nitarejea [kuendeleza mapambano].

NB: Kama sitapelekwa mahakamani siku ya Jumanne kama inavyotakiwa, nitaanza mgomo wa kutokula chakula."

Tundu Antiphas Mughwai Lissu. 
(Gereza la Ukonga). 3 Mei 2025