Katibu katika Wizala ya Mambo ya Ndani amehakikishia Shirika la Waandishi Nchini ushirikiano mzuri katika Shughuli zote zinazo pangwa na Shirika hilo.
Hii Leo Ijumane talehe 18.2.2025 Mkurugenzi wa chama cha waandishi nchini Rwanda Hategekimana Richard, amefanya mazungumzo na Katibu wa Wizala ya Mambo ya Ndani, ampapo katika Mazungumzo hayo yamejikita katika ku kuza utamaduni wa kusoma na kuandika vitabu katika ngazi zote.

Mkurugenzi wa wandishi wa vitabu Hategekimana Richard akiwa na Katibu katika Wizala ya Mambo ya Ndani ofisini.
Katika Mjadara huo, Katibu katika Wizala ya Mambo ya Ndani amemhakikishia Mkurugenzi wa wandishi wa vitabu ushirikiano thabiti katika Shughuli zote zinazo pangwa na Shirika hilo.
Nae Mkurugenzi wa Shirika la Waandishi Nchini Hategekimana Richard amemshukuru Katibu katika Wizala hiyo kuhusina na Mjadala walio ufanya kuhusina na kukuza utamaduni wa kusoma na kuandika vitabu katika ngazi zote.
Bagabo John
