Mwandishi wa vitabu Richard Hategekimana ametunukiwa Kombe la Mwandishi Bora wa Mwaka kwa Juhudi zake zikiwa ni Pamoja na Upendo wa Nchi yake., Pia anafahamika kwa vitabu vingi alivyoandika kuhusu Mheshimiwa Rais wa Jamhuri Paul KAGAME
HATEGEKIMANA Richard ambae ni Mwenyeketi wa Umoja wa Waandishi nchini Rwanda pia na Chama cha Tasnia ya Vitabu Nchini.

Richard anasifika sana kwa kuandika takribani zaidi ya vitabu 15 baadhi ya vitabu hivyo vinajikita katika Kusifia Rais Paul Kagame kuhusu Utendaji kazi wake nzuri.

Hategekimana Richard anajivunia tuzo aliyoipata na ku waomba wandishi wengine wa vitabu, kuendelea kuwania tuzo zinazo lenga kufulahia Mazuri ya Nchi.
Bagabo John
