Alain Mukuralinda, aliyekuwa Naibu Msemaji wa Serikali, amefariki dunia jioni ya Alhamisi, Aprili 3, 2025 kutokana na ugonjwa wa Moyo.
Mnamo Desemba 14, 2021, Alain Mukuralinda aliteuliwa kuwa Naibu Msemaji wa Serikali.
Ni baada ya muda mlefu akifanya kazi kama Mwendesha Mashtaka wa Umma, pia aliwahi kuwa Wakili

Bagabo John
