•     

Nembo za kitaifa za Jeshi la Rwanda zimebadilishwa.

Nembo za kitaifa za Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) zimebadilishwa. Mabadiliko haya yametangazwa na uongozi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) na yalianza kutekelezwa mapema Julai 7, 2025.

Mabadiliko yamefanywa kwa Bendera ya Kitaifa iliyokuwa  kwenye Mikono, ambayo zamani ilikuwa na rangi nyepesi, lakini sasa imebadilishwa kuwa na rangi ya giza.

Msemaji wa Jeshi la Rwanda, Brig. Jenerali Ronald Rwivanga, ametangaza kuwa mabadiliko haya yalifanywa ili kumsaidia mvaaji kujificha, marufu  kama Camouflage kwa lugha ya kijeshi. 

Msemaji wa Jeshi la Rwanda (RDF) Brig: General Ronald Rwivanga

Alisema: "Bendera iliyokuwepo ilikua ikionekana sana, wakati hii mpya ni giza, 

 Aliendelea: “Kilichofanyika ni sawa na bendera za awali, tumezibadilisha na sasa tunatumia mpya, rangi za bendera tunazovaa sasa hazionekani sana ukilinganisha na zile za awali

Alimalizia kwa kusema: "Kwa kawaida, Sare ya Kijeshi zinapaswa kuwa na Camouflage."

Bagabo John