Klabu ya Yanga SC imeshindwa kesi katika Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) iliyofunguliwa dhidi ya TFF.
Bodi ya Ligi Kuu na Simba SC kuhusu kudai pointi 3 na mabao 3 kwakuwa Simba SC iligomea mchezo wa Derby tarehe 08 mwezi March 2025
- CAS imesema haina mamlaka ya kuzuia tarehe mpya ya Derby na TFF.

Bodi ya Ligi Kuu katika utetezi wao waliipinga Yanga SC kuzivuka mamlaka za kisheria na kwenda CAS na kwa mujibu sahihi wa Mahakama ya Usuluhishi imepiga chini shauri ya Yanga SC na mpaka sasa Mamlaka za TFF na Bodi ya Ligi Kuu zipo huru kupanga tarehe mpya ya Derby
- Kwa mujibu wa CAS ni kuwa Yanga SC waligomea kucheza Derby ambayo itapangwa tarehe nyingine watapokonywa pointi 15 katika Ligi Kuu ya NBC.
Bagabo John
