•     

Jenerali Gakwerere na Maj Ndayambaje Gilbert wa FDRL wamekabidhiwa Rwanda na M23

Katika mpaka wa La Corniche unaounganisha Rwanda na DRC, wanajeshi wa FDRL wakiongozwa na Jenerali Brig Gakwerere Ezechiel waliokamatwa katika maeneo tofauti ya Goma na kundi la M23, hii Leo Ijumamosi wamewakabizi wapiganaji hao katika Vikosi vya usalama vya Rwanda.

General Gakwerere ni Miongoni mwa Askari 14 ambao wamekabidhiwa na M23 katika vikosi vya usalama vya Rwanda

Kanali Mwesigye amethibitisha kuingia kwa askari 14 akiwemo Jenerali Gakwerere na Maj Ndayambaje Gilbert, mmoja wa viongozi wa RDF alisema hiyo ni ishara tosha kuwa Serikali ya Rwanda kila mara inasema FARDC inashirikiana na FDLR, pia alisema ni ishara inayoonekana duniani kote.

Miongoni mwa askari hao 14, wapo watapelekwa  katika taasisi mbalimbali, nawalio fanya makosa yajinai ikiwemo walio fanya mauwaji ya kimbali dhidi ya watutsi watachukuriwa hatuwa za kishelia.

na wale ambao hawakufanya uhalifu watapelekwa  kwenye taasisi za kurekebisha tabia.

Brig Jenerali Gakwerere Ezechiel ni miongoni mwa waliofanya mauwaji ya kimbali dhidi ya watusi mwaka 1994.
ambapo alidai kujiunga na FDLR ilipoundwa.

Bagabo John 