Halmashauri ya Wilaya ya Nyanza ime msimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Nyanza Mh Ntazinda Erasme
Ni uamuzi uliotolewa katika kikao maalum cha Baraza la Madiwani kilichofanyika Aprili 15, 2025, kilichoeleza kuwa Ntazinda ame simamishwa kazi kwa kushindwa kutimiza wajibu wake ipasavyo.


Ntazinda alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyanza kwa awamu ya pili, baada ya kuchaguliwa tena katika uchaguzi wa mwaka 2021 na kuendelea kuiongoza wilaya hiyo kwa miaka mitano.
Bagabo John
