•     

“Rais Kagame ameitaka jumuiya ya kimataifa kuacha kuhusisha Rwanda na mgogoro wa Kongo.”

Katika Mkutano wa Kitaifa wa Majadiliano Maalufu (Umushyikirano) kwa awamu ya 20 unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kigali Convention Center, Rais Paul Kagame ameitaka jumuiya ya kimataifa kuacha kuhusisha Rwanda na matatizo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Alifafanua kuwa Rwanda haina mchango wowote katika matatizo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, iwe ni huko nyuma au kwa sasa, akisisitiza kuwa matatizo hayo yanasababishwa na makundi ya Interahamwe yanayohifadhiwa, makundi mengine yenye silaha, pamoja na nchi zenye maslahi katika mgogoro huo.

Alikumbusha pia kuwa Rwanda haipo nchini Kongo, bali imechukua hatua za kujilinda dhidi ya yeyote anayejaribu kuishambulia akitokea huko.

Akizungumza, alisema: ‘Ingawa maelezo tunayotoa mara nyingi hupuuzwa, Rwanda itaendelea kuwa tayari kulinda usalama na uadilifu wa raia wake.’”

Mkutano huu utahitimishwa lasmi ijumaa yarehe 7 February 2026

Bagabo John