Leo mchana ya tarehe 24.6.2025 Rais Kagame amempokea Rais wa Zamani wa Nigeria Olusegun Obasanjo Ofisini mwake.
Kwa majadiliano mapana. Walijadili hali katika kanda, pamoja na masuala mbalimbali muhimu ya bara na kimataifa.

Tangazo ambalo limetolewa na Ofisi ya Rais na kuwekwa kwenye Tuvuti ya X, linasema kwamba Viongozi hao wawili walishiriki maarifa juu ya njia kuelekea utulivu, ushirikiano na maendeleo.
