Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza Kifaransa (OIF), Louise Mushikiwabo, amesema kwamba Ijumaa iliyopita, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha azimio la kihistoria lililolenga kuimarisha ushirikiano kati ya Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Nchi zinazozungumza Kifaransa (Organisation Internationale de la Francophonie - OIF). Azimio hilo, lililopewa jina la A/79/L.121, liliungwa mkono na nchi 167 kati ya 171 zilizopiga kura, na liliwasilishwa kwa pamoja na zaidi ya mataifa 70.
Katika ujumbe wake kupitia X, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi zinazozungumza Kifaransa (OIF), Louise Mushikiwabo, amesema kuwamba hatua hiyo imepokelewa kama ishara muhimu ya mshikamano wa kimataifa na nia ya dhatiHatua hiyo imepokelewa kama ishara muhimu ya mshikamano wa kimataifa na nia ya dhati ya kukuza ushirikiano wa kimataifa katika masuala yanayovuka siasa za kawaida, hususan katika kukuza matumizi ya lugha mbalimbali — kielelezo cha kipaumbele cha pamoja kwa pande zote mbili.

Kupitia ujumbe alioutoa, mwakilishi wa OIF aliwashukuru kwa dhati mataifa yote yaliyounga mkono azimio hilo, huku akitoa shukrani za kipekee kwa nchi zilizopiga kura ya "ndiyo" ingawa si wanachama wa OIF. ya kukuza ushirikiano wa kimataifa katika masuala yanayovuka siasa za kawaida, hususan katika kukuza matumizi ya lugha mbalimbali — kielelezo cha kipaumbele cha pamoja kwa pande zote mbili.
Bagabo John
