•     

Juba yaomba kuongezwa Muda wa kuhifadhi Mizigo

Serikali ya Sudan Kusini, ambayo ni mtumiaji wa pili kwa ukubwa wa bandari ya Mombasa nchini Kenya, imeitaka serikali ya Kenya kuongeza muda wa kuhifadhi mizigo bandarini ili kuimarisha biashara kati ya nchi hizo mbili.

Juba yaomba kuongezwa muda wa kuhifadhi Mizigo

Kwa mujibu wa maafisa wa serikali ya Sudan Kusini, muda wa sasa wa kuhifadhi mizigo bandarini ni mfupi na unasababisha hasara kwa wafanyabiashara wengi kutoka Juba wanaotegemea bandari ya Mombasa kwa uagizaji wa bidhaa. Wanasema kuwa kuongezwa kwa muda huo kutarahisisha shughuli za usafirishaji na kuongeza mapato kwa pande zote mbili.

                   Bandari ya Mombasa

Serikali ya Kenya bado haijatoa tamko rasmi kuhusu ombi hilo, lakini wadau wa sekta ya usafirishaji wanasema hatua hiyo inaweza kuchangia kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya Kenya na Sudan Kusini.

Bagabo John