•     

Ninyi ni wadau na washiriki muhimu- Rais Samia

Rais wa Tanzania Mh Samia Hassan Suluhu, amevipongeza vyombo vyahabari nakusema kwamba vyombo hivyo vya habari ni wadau na niwashirika muhimu.

Rais  Samia amesema " Ninafarijika kuona tumepiga hatua kubwa katika kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari na kujieleza, ambapo mwaka 2025 tumepanda zaidi katika viwango vya uhuru wa vyombo vya habari duniani. Haya ni matokeo ya kazi kubwa iliyofanywa na kila mdau kwenye sekta hii muhimu."

Pia Samia  ameendelea  kuvisihi vyombo vya habari kutumia weledi katika kazi zao ili kuendelea kujenga na kuimarisha amani, utulivu na umoja wa kitaifa, hasa kipindi hiki tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu. 

Hapa amesema "Ninyi ni wadau na washiriki muhimu si tu kwa shughuli za Serikali,bali pia kwa uhai wa Taifa letu"

Rais amataja haya hiileo tarehe 3 Mai 2025 ambapo ni  Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari.

Bagabo John