•     

PAC Yaanza Kusikiliza Hadharani Taasisi Zilizotajwa Katika Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali

Kamati ya Bunge ya Kusimamia Matumizi ya Fedha na Mali za Umma (PAC)hii leo Tarehe 25 Juni 2026 imeanza kusikiliza hadharani taasisi zilizobainika kuwa na makosa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

PAC Yaanza kusikiliza hadharani Taasisi zilizotajwa katika Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali

Vikao hivyo vina lengo la kuwawajibisha viongozi wa taasisi husika na kupata maelezo kuhusu dosari na mapungufu yaliyoainishwa katika ripoti hiyo, pamoja na hatua zinazochukuliwa ili kurekebisha kasoro zilizojitokeza.

Taasisi zilizofika mbele ya Kamati ya PAC leo ni:
Rwanda Transport Development Agency (RTDA)
Road Maintenance Fund (RMF)
Rwanda Housing Authority (RHA)
Rwanda Mines, Petroleum and Gas Board (RMB)

Kamati hiyo inatarajiwa kuendelea na uchunguzi wa kina kuhusu matumizi ya fedha za umma na usimamizi wa mali za Serikali ili kuhakikisha uwajibikaji, uwazi na matumizi sahihi ya rasilimali za taifa.

Bagabo John 