•     

Rwanda: Idara ya Taifa ya Magereza imewafukuza wafanyakazi 411 kutokana na utovu wa nidhamu

Idara ya Kitaifa ya Urekebishaji, Rwanda Correctional Service (RCS) imetangaza kuwa imewafuta kazi wafanyakazi 411 kwa utovu wa nidhamu, ikiwa ni pamoja na rushwa na uhalifu mwingine.

RCS imewafuta kazi wafanyakazi 411 kutona na utovu wa nidhamu

Waliofutwa kazi ni pamoja na Kamishna mmoja, maafisa wakuu 26 na maafisa 20 wa chini.
 RCS Rwanda inatangaza kuwa uamuzi wa kuwafuta kazi wafanyakazi hao ni kwa mujibu wa kanuni za kuimarisha utendaji mzuri.

Bagabo John