•     

Samia atakula chakula cha Mchana na Taifa Stars

Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa ndege maalum (Boeing 787-8 Dreamliner) kwenda Morocco kuwachukua wachezaji wa Taifa Stars na viongozi wao baada ya kushiriki AFCON.

Hatua hiyo ni kutambua heshima kubwa waliyoipatia Tanzania kwa kufika hatua ya 16 bora, hatua ambayo haijawahi kufikiwa hapo awali.

Ndege itaondoka Dar es Salaam tarehe 6 Januari 2026 na kurejea tarehe 7 Januari 2026. Aidha, Rais Samia ameandaa chakula cha mchana Ikulu tarehe 10 Januari 2026 kwa ajili ya kuwapongeza Taifa Stars na wanamichezo wengine waliofanya vizuri.

Bagabo John 