Shirikia la Waandishi wa Rwanda kwa kushirikiana na Panafrican Movement-Rwanda Chapter watazindua Shindano la Kusoma na Kuandika katika Vyuo Vikuu!
Shirika la Waandishi wa Rwanda kwa kushirikiana na Panafrican Movement-Rwanda Chapter watazindua Shindano la Kusoma na Kuandika katika Vyuo Vikuu!
Vyuo vikuu vitakavyochuana ni 23, Pia Wanafunzi walioshiriki shindano hilo ni takribani elfu mbili (2000)

Washindi watapata zawadi za kusisimua Shindano litaanza Jumatatu tarehe 3/3/2025 Washindi watapata tuzo zao tarehe 27/3/2025 katika Ukumbi wa Rusororo Intare Arena
Ni sherehe ambayo itahudhuriwa na watu takriban elfu tatu (3000) Shindano hili linalenga kujenga uchumi unaotegemea maarifa!

Chama cha Waandishi kinapenda kushukuru Vyuo Vikuu vilivyoshiriki na kuwaalika wale ambao hawakushiriki, washiriki mwakani.
Bagabo John
