•     

Libya: Mtoto wa hayati Muammar Gadaffi Saif al-Islam Gaddafi ameuawa.

Mtoto wa hayati Muammar Gadaffi aliyekuwa anatajwa kuwa mtu anayeogopwa zaidi nchini Libya, Saif al-Islam Gaddafi ameuawa katika mji wa magharibi mwa nchi hiyo wa Zintan.

Mtoto wa hayati Muammar Gadaffi Saif al-Islam Gaddafi ameuawa.

Taarifa za kifo hicho zimesemwa na mwanasheria wake Khaled al-Zaidi na mshauri wake Abdullah Osman usiku wa Jumanne. 

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Libya, mauaji ya Saif al-Islam Gaddaf yalitokea kwenye makazi yake na yamefanywa na watu wanne ambao bado hawajatambulika huku kamera za usalama kuzunguka eneo hilo zikitajwa kuzimwa kabla ya mauaji hayo. 

Inadaiwa kuwa tayari Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Libya imeanza uchunguzi wa mauaji hayo.

Bagabo John