•     

Rwanda na Morocco Wasaini Makubaliano ya Ushirikiano katika Huduma za Magereza

Kamishna Mkuu wa Huduma za Magereza nchini Rwanda, CG Evariste Murenzi, kwa mwaliko wa mwenzake, Mkurugenzi Mkuu wa Huduma za Magereza wa Ufalme wa Morocco, Bw. Mohamed Salah Tamek, wamesaini makubaliano ya ushirikiano katika masuala ya marekebisho na uangalizi wa wafungwa.

Hafla hiyo ilifanyika mjini Rabat na kuhudhuriwa na Balozi wa Rwanda katika Ufalme wa Morocco, Mhe.  balozi Umutoni  Shakilla,  ambaye alishuhudia utiwaji saini wa makubaliano hayo.

Makubaliano haya yanakusudia kubadilishana uzoefu, kutoa mafunzo kwa wafanyakazi, na kuboresha mifumo ya kuwawezesha wafungwa kurejea katika jamii baada ya kutumikia vifungo vyao

Chanzo RCS 